USTA Financial Agency Ltd wanatoa mkopo kwa dhamana ya magari.
Kuna mwana-Forum yoyote anajua kuhusu kampuni hii na hiyo mikopo ya dhamana ya magari??
Huwa naona matangazo yao kwenye magazeti ya hapa Tz ya kiswahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.