Madiba JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 426 Reaction score 252 May 11, 2013 #1 USTA Financial Agency Ltd wanatoa mkopo kwa dhamana ya magari. Kuna mwana-Forum yoyote anajua kuhusu kampuni hii na hiyo mikopo ya dhamana ya magari?? Huwa naona matangazo yao kwenye magazeti ya hapa Tz ya kiswahili.
USTA Financial Agency Ltd wanatoa mkopo kwa dhamana ya magari. Kuna mwana-Forum yoyote anajua kuhusu kampuni hii na hiyo mikopo ya dhamana ya magari?? Huwa naona matangazo yao kwenye magazeti ya hapa Tz ya kiswahili.