Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar zenu?Naomba kujuzwa na wale ambao walifanya mitihan ya kdato cha 6 kama Private Candidate(PC)2012 na wanatarajia kuingia vyuon mwaka huu,Je! Kuna ambaye amepatiwa mkopo na HELSB?Mana kuna tetes kuwa watahiniwa ambao ni PC hawatapewa loans.Naomba kujuzwa