carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Jana usiku nilikua na show ambayo ilihitaji reinforcement maana nilikua nataka kuacha legacy, Nilizunguka pharmacy zote nakuta madingi wa age ya 50's na mamaza wakubwa tu.duuuh! mkuu umenichekesha sana, tafuta pharmacy yenye mshikaji wa kiume... utanunua bila shida.
au unaandika kwene kikaratasi ukifika unampa kikaratasi tu, anakwambia bei... unalipa unapewa mzigo unasepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeh niliondoka kapa nikaenda kupiga show kibabe tu, nikanywa maji mengi na show ikaenda vizuri ingawa sikuacha legacy niliyoitarajia.
Sent using Jamii Forums mobile app