Naomba maelezo mafupi kuhusu viagra

soma hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaga balaa hapo huangalii sura atakae kuja yoyote nikuweka tu[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua viagra...kama nguvu ndogo mega nusu hiko kidonge meza itakusaidia sana ila ni vyema zaid kabla ya kumeza dawa ukawa umepiga/kunywa maji kama lita 1 hivi...mambo yataenda fresh

Ila kama una energy ya kutosha piga donge zima ila moyo ukitaka kutoka mi simoooo [emoji124] [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amsemi bei mbona watu tuna taka kufa uku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…