Naomba majibu juu ya swali hili

Naomba majibu juu ya swali hili

KatetiMQ

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2022
Posts
249
Reaction score
506
Habari wana jamvi kiukweli sielewi ni nini hasa kinaendelea lakini nikiwa kama Mtanzania nahitaji kufahamu juu ya jambo hili hasa kwa wenye ufahamu

Ikiwa raisi wa Zanzibar ni Wazanzibar na raisi wa Tanzania anaweza toka Tanganyika au Zanzibar

Rais wa Tanganyika ni nani? Na ikulu yake ipo wapi?
 
Nilitaka kusema Rais wa Tanganyika ni Magufuli ila basi sisemi
 
Sina ata jibu.

Mie nashangaa meenda ATM tatu za bank tofauti zipo umbali wa kilomita moja kwa Kila moja, meshangaa eti hamna Hela ili Hali bank zinapata faida kwa ada za kutoa fedha
 
Back
Top Bottom