Rekondoboshiki
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 228
- 280
brother hakuna namna mpira wa miguu unaruhusu goli la mkono labda refa asiwe ameonaHilo ni goli halali kabisa.
Wachezaji wasipungue 7
TATIZO SIO KURUSHA AKISHARUSHA LAZIMA MPIRA UGUSWE NA MCHEZAJI MWINGINE NDIO UHESABIWE GOLI USITUNGE SHERIA ZA MPIRA ZISOME ZILIZOPOkwahiyo atarusha kwa miguu
Hilo ni goli halali kabisa.
Wachezaji wasipungue 7
Ni goli. Na lishawahi kutokea.Hilo haliwezi kuwa goli...
Ili mchezo uweze kuwa valid inabidi idadi ya wachezaji isiwe chini ya saba pamoja na goalkeeper kwa upande wa timu moja!
Hilo ni sawa na goli la mkono, na hakuna sheria inayoruhusu hivyo!Ni goli. Na lishawahi kutokea.
TATIZO SIO KURUSHA AKISHARUSHA LAZIMA MPIRA UGUSWE NA MCHEZAJI MWINGINE NDIO UHESABIWE GOLI USITUNGE SHERIA ZA MPIRA ZISOME ZILIZOPO
Watu hawajui kwamba kuna sheria 17 za mpira wa miguuSIO GOLI halali!
Mpira wa kurushwa lzm uwe hai kwa kuguswa na yyt kwa njia yyt isipokuwa mikono kabla haujaingia wavuni
Rule # 15
Kuna watu wana asili ya ubishiTATIZO SIO KURUSHA AKISHARUSHA LAZIMA MPIRA UGUSWE NA MCHEZAJI MWINGINE NDIO UHESABIWE GOLI USITUNGE SHERIA ZA MPIRA ZISOME ZILIZOPO