Rekondoboshiki
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 228
- 280
Salaam,
Naomba kujua iwapo mpira wa kurushwa ukirushwa na kuingia moja kwa moja wavuni kwa timu pinzani bila ya kuguswa na mchezaji yeyote, Je hilo litakuwa ni bao halali?
Na je, ni idadi gani ya wachezaji ambao wakipewa kadi nyekundu inam'bidi refa aahirishe pambano.
Ni hayo tu kwa sasa.