Hello...nlikuwa nauliza mimba ya wiki 2 inaweza kuonekana kwenye ultrasound? Maana nataka nijue kama imetunga mahari panapostahili maana nyngne zote za nyuma ziliharibika ya kwanza sikupima ultrasound na ya pili nlipima ikawa brighted ovum sasa hii nataka nione mapema maana nyonga ya kulia inaniuma sana je nkawaida kwa mimba changa au ni tatizo ...naomba mnijibu mwenzenu.
Mrejesho;nmeenda aghakan mwanza wamedai mimba ni ndogo sana ila nna fluid kwenye pod ambayo n PID maambukizi kwenye viungo vya uzazi nmepewa dawa nrudi after two weeksSi uende kwa daktari...
Mungu atakusaidiaMrejesho;nmeenda aghakan mwanza wamedai mimba ni ndogo sana ila nna fluid kwenye pod ambayo n PID maambukizi kwenye viungo vya uzazi nmepewa dawa nrudi after two weeks
InshaalahMungu atakusaidia