Naomba majibu plz

Naomba majibu plz

mrsmau

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
462
Reaction score
484
Hello...nlikuwa nauliza mimba ya wiki 2 inaweza kuonekana kwenye ultrasound? Maana nataka nijue kama imetunga mahari panapostahili maana nyngne zote za nyuma ziliharibika ya kwanza sikupima ultrasound na ya pili nlipima ikawa brighted ovum sasa hii nataka nione mapema maana nyonga ya kulia inaniuma sana je nkawaida kwa mimba changa au ni tatizo ...naomba mnijibu mwenzenu.
 
Si uende kwa daktari...
 
Mmh...ultra sound ni kuanzia 4 months. Nenda kwenye hospital ambayo utakuwa unaenda clinic,itakuwa bomba zaidi
 
Si uende kwa daktari...
Mrejesho;nmeenda aghakan mwanza wamedai mimba ni ndogo sana ila nna fluid kwenye pod ambayo n PID maambukizi kwenye viungo vya uzazi nmepewa dawa nrudi after two weeks
 
Back
Top Bottom