naomba majina ya maafisa wa Takukuru

naomba majina ya maafisa wa Takukuru

Bunda one

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
27
Reaction score
3
Taasisi ya kupambana na rushwa ina kurugenzi nne zinazo saidiana katika utimjzaji wa lengo la kuzia na kupambana na rushwa Tanzania bara. Kurugenzi hizo ni
1. Dirrctor of investigation
2. Dirrctor of research
3. Director of community education
4. Director of admnistration
Kutokana na wakurugenzi hao hapo juu naomba mnitajie majina ya kila mkurugenzi na kurugenzi anayo iendesha tafadhafi naomba naanda project ya kuzuia na kupambana na rushwa mwakani kwenye uchaguzi niko pori najipanga kudhibiti wala rushwa. Pia mniandikie jina la kaimu wa Dr. Hosea.
 
Kijana nikipata tyme ntaenda kuwacheck ila kama utayapata still naomba unitumie maana niko kijijini sana 100km kutoka town halafu huku ndiyo pazuri pakuandikia mradi huu maana hakuna kelele
 
Back
Top Bottom