Naomba Majina ya wilaya kongwe nchini

Yes hii zamani sanaaa tangu ukoloniiii watumwa kutoka Chigoma lazima wapite hapoooo
Navyojua ni kitongoji maarufu, kinacho unganisha mikoa kadhaa kama Tabora na Mbeya... na kipo ndani ya Wilaya ya Manyoni mkoani Sindiga.


Reli ya kati imeupa umaarufu kiasi chake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…