Naomba makadirio ya bati kwa nyumba hii

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft....imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje...anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii,bati standard za 3feet
 
Bati umesema ft 3; fafanua, Corrugated au Makuti? Za Bongo au South? Kama ni Bongo za Kiboko, Alaf au Rhino, Gage ngapi 26, 28, 30 au 32? Rangi gani?

Hela ni ya mkopo aua ni yako?
 
Bati umesema ft 3; fafanua, Corrugated au Makuti? Za Bongo au South? Kama ni Bongo za Kiboko, Alaf au Rhino, Gage ngapi 26, 28, 30 au 32? Rangi gani?

Hela ni ya mkopo aua ni yako?

Corrugated acha izo bana,Mbongo-Kiboko gage 28 ...
 
piga DECRAA, 32ft by 26ft = sq ft 832

Corrugated Iron sheets (3 ft by 10 ft ) = sq ft 30, you will need 28 -32 mabati

1 pc = 1 ft by 4 ft = sq ft 4 = you will need 208 - 250 pcs ==========TZS 4,056,000/=

Utahitaji bati kama 45 kutosha nyumba yako hiyo
 
piga decraa, 32ft by 26ft = sq ft 832

corrugated iron sheets (3 ft by 10 ft ) = sq ft 30, you will need
28 -32 mabati

1 pc = 1 ft by 4 ft = sq ft 4 = you will need 208 - 250 pcs ==========tzs 4,056,000/=

View attachment 133606

kwenye bati mkuu kunamakosa kidogo umesahau mgongo wa bati ukweli ni bati kama 45 hv
 
Mkuu mbona unampa ghalama sana decra its expensive labda awe na mkwanja vile videcra pc moja wanauza 15000 kwa nyumba ya urefu huu aliousema mleta mada akubali mziki
cha kufanya aende alaf tu mita wanauza kumi na mia sita kama anataka ya kisasa kama vipi aende kwa wachina
piga DECRAA, 32ft by 26ft = sq ft 832

Corrugated Iron sheets (3 ft by 10 ft ) = sq ft 30, you will need 28 -32 mabati

1 pc = 1 ft by 4 ft = sq ft 4 = you will need 208 - 250 pcs ==========TZS 4,056,000/=

View attachment 133606
 
Reactions: RTI

thanks mkuu .....na mbao inakua kadirio gani apo in total feets? na nitumie mbao za saizi ipi
 
Kumbe kununua bati mpaka hela za mkopo acha kutisha watu
Bati umesema ft 3; fafanua, Corrugated au Makuti? Za Bongo au South? Kama ni Bongo za Kiboko, Alaf au Rhino, Gage ngapi 26, 28, 30 au 32? Rangi gani?

Hela ni ya mkopo aua ni yako?
 
mkuu hebu tupe maujanja ya kupiga hesabu mfano iwe na urefu wa 12 na upana wa 12.55 unaweza kutumia bati ngapi

mkuu unapina meter squre then unazidisha na 1.45 kwa ajili ya migongo na wastage MKUU HIYO YAKO ITAHITAJI BATI KAMA 80 HV.
 
futi 26 ni = sm793 gawa kwa sm 78, na futi 32 ni sawa na sm 976 gawa kwa sm 78. Hivyo kama ni mgongo wa tembo bati ni futi kumi = 28 pamoja na kofia. na futi nane = 27. kama ni mapaa manne bati futi kumi = 24 pamoja na kofia. na futi nane = 44
 
Kumbe kununua bati mpaka hela za mkopo acha kutisha watu

Tunashindwa kujifunza kwa sababu ya kujump kwenye conclusion, ulitakiwa uulize kwa nini nimeuliza hivyo!

We utakuwa hujajenga ndio maana umepanick!
 
Mimi sio kama wewe unayehoji hela za mtu
kikubwa mleta mada anataka kujua ataezeka mabati mangapi na ndio swali lenyewe na hapa sio muda wa mtu kuhoji kapata wapi hela za mkopo au sisi hayo hayatuhusu kabisa muhimu ni kutoa ushauri kwa mleta mada
kusema unavyosema sijajenga siwezi kuanza kujenga hoja ya kumuonyesha mtu kuwa nimejenga ukitaka kujua kuwa nimejenga nipm uje ulale kwangu wewe ndio utanipa sifa na sio mimi kuanza kujisifia kama wewe mwenye akili za ulimbukeni
Tunashindwa kujifunza kwa sababu ya kujump kwenye conclusion, ulitakiwa uulize kwa nini nimeuliza hivyo!

We utakuwa hujajenga ndio maana umepanick!
 
Jamani msouth mgongo mpana sqm moja shi ngapi??
 
Ha ha ha! Umepanick! Kawaida tu bosi, hizo hasira zinaonyesha fika huajajenga (umechelewa kujenga), maana umepandisha jazba na umechukulia personal.

Majengo mengi makubwa makubwa unayoyaona mjini yana mikopo, wewe unapanick mtu kuulizwa kama amekopa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…