Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Waache waibiwe... Wanakodi engineer wamlipe million 2 na ramani wauziwe laki 3.Ukiangalia maoni ya humu ndani ,unaweza kuwa muoga wa kuanza kujenga
NakaziaMilion 12 hapo unamaliza
Wengi hawatakuelewa lakini huo ndo ukweli. Watu wanajazwa woga juu ya masuala ya ujenzi lakini mtu akiamua toka moyoni na kea dhati nyumba inajengeka vizuri na kwa gharama affordable kabisa.Waache waibiwe... Wanakodi engineer wamlipe million 2 na ramani wauziwe laki 3.
Lazima apigwe zifike million 20..
Binafsi hii nyumba hata kwa mjini haivushi mil 12
Hapo finishing haitakamilikaMilion 12 hapo unamaliza