Naomba makisio ya gharama ya ramani hii

Naomba makisio ya gharama ya ramani hii

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
981
Makisio ya gharama ya haka kakibanda jaman.Hapo kuna style mbili tofaut za hyo floor plan zote tujue makisio yake

2022-04-23-16-29-19.png


2022-04-03-00-11-43.edit1.jpg


2022-04-03-00-14-12.edit1.jpg


2022-04-23-16-26-35.edit1.jpg
 
Ukisimamia mwenyewe mguu Kwa mguu, jicho Kwa jicho kuanzia msingi bila kumwagiza mtu milioni 25 unahamia kabisa. Tena unafanya finishing ya kibabe sana na ukikomaa vizuri chenji inabaki kutegemea na site ilipo. Muhimu kuwa serious na kutocheka na mafundi.
 
Mi ninacho kama hiki... Million 8 mkoani kanaisha kwa kufyatua tofali maana kiwanja changu Kilikuwa na mchanga tayari, mawe trip 5 msingi
Bati 55
Tofali 1200
Nk
 
Ukiangalia maoni ya humu ndani ,unaweza kuwa muoga wa kuanza kujenga
Waache waibiwe... Wanakodi engineer wamlipe million 2 na ramani wauziwe laki 3.
Lazima apigwe zifike million 20..

Binafsi hii nyumba hata kwa mjini haivushi mil 12
 
Waache waibiwe... Wanakodi engineer wamlipe million 2 na ramani wauziwe laki 3.
Lazima apigwe zifike million 20..

Binafsi hii nyumba hata kwa mjini haivushi mil 12
Wengi hawatakuelewa lakini huo ndo ukweli. Watu wanajazwa woga juu ya masuala ya ujenzi lakini mtu akiamua toka moyoni na kea dhati nyumba inajengeka vizuri na kwa gharama affordable kabisa.
 
hesabu rahis chukua total area..in sqm then zidisha kwa 500,000..mfano nyumba ina sqm 100 means hapo 50,000,000
 
Back
Top Bottom