Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 343 Feb 26, 2018 #1 habari wakuu naomba kupata maoni juu ya gari ya corolla runx?? vip upatikanaji Wa spea pamoja na ulaji wake Wa mafuta?
habari wakuu naomba kupata maoni juu ya gari ya corolla runx?? vip upatikanaji Wa spea pamoja na ulaji wake Wa mafuta?
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Feb 26, 2018 #2 Chukua,corolla runx ina injini ndogo so ulaji wake wa mafuta ni mzuri,toyota zote kwa tanzania vipuri vyake vya kumwaga
Chukua,corolla runx ina injini ndogo so ulaji wake wa mafuta ni mzuri,toyota zote kwa tanzania vipuri vyake vya kumwaga
B Baba Jazey JF-Expert Member Joined Apr 14, 2016 Posts 500 Reaction score 556 Feb 27, 2018 #3 ni nzuri sana inakula mafuta vizuri sana kuhusu spea zipo
Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 343 Feb 27, 2018 Thread starter #4 yan hili jukwaa bure kabisa
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Feb 27, 2018 #5 Ila kana sura mbaya sana,kama ka watoto vile.Samahani lkn
M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,593 Mar 1, 2018 #6 Gari nzuri, Mafuta 16km/l Kinatembea,durable,nyepesi
Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 343 Mar 1, 2018 Thread starter #7 mi mwenyewe mtoto boss
robhil mfwegekamo Senior Member Joined Jan 10, 2018 Posts 155 Reaction score 67 Mar 1, 2018 #8 eeebana mi nina gari fulani la kifahari japo ni la mda mrefu sana kutoka ufaransa. Model 403. hilo ndio najua ulaji wa mafuta kama unahitaji basi.
eeebana mi nina gari fulani la kifahari japo ni la mda mrefu sana kutoka ufaransa. Model 403. hilo ndio najua ulaji wa mafuta kama unahitaji basi.