Naomba maoni kuhusu gari aina ya corolla runx

Naomba maoni kuhusu gari aina ya corolla runx

Kilahunja

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
1,500
Reaction score
343
habari wakuu

naomba kupata maoni juu ya gari ya corolla runx??

vip upatikanaji Wa spea pamoja na ulaji wake Wa mafuta?
 
Chukua,corolla runx ina injini ndogo so ulaji wake wa mafuta ni mzuri,toyota zote kwa tanzania vipuri vyake vya kumwaga
 
Ila kana sura mbaya sana,kama ka watoto vile.Samahani lkn
 
Gari nzuri,
Mafuta 16km/l
Kinatembea,durable,nyepesi
 
eeebana mi nina gari fulani la kifahari japo ni la mda mrefu sana kutoka ufaransa. Model 403. hilo ndio najua ulaji wa mafuta kama unahitaji basi.
 
Back
Top Bottom