yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Hapo kifanyike nin mkuuhiyo corridor itakua na giza balaaiwe mchan iwe usiku
Sawa mkuu. Hapo kumbe inatakiwa itafutwe namna ya kupata dirisha hapo kwenye korido.Ok, ramani yako sio mbaya sana lakini vyoo vyako vimeziba eneo la dirisha lililotakiwa kuingiza mwanga kwenye kolido lako, kwa hiyo utalazmika kuweka taa kwenye kolido itakayokuwa inawaka masaa yote kuondoa giza, Pia mfumo hewa una shida kidogo labda uimprove kwa kuweka vigae vya kuingiza hewa maeneo ya juu ya madirisha!
Pia jaribu kuingia ndani kidogo ili kuweka kona ili kuongeza shepu ya sura ya nyumba!
Hope, wajuzi wa ramani wanaweza kukusaidia kuhusu vipimo na mabo mengine!
hamisha choo cha public ,uweke dirisha ili corridor ipumueHapo kifanyike nin mkuu
Sio lazima corridor iwe na dirisha. Dirisha kwenye corridor la nini? Ili iweje?Sawa mkuu. Hapo kumbe inatakiwa itafutwe namna ya kupata dirisha hapo kwenye korido.
Mwisho wa siku natafuta shape ya namna hii
View attachment 1927928
Dirisha la nini nyie? Kwanza ramani zote za kisasa corridor haipaswi kuwa mwanzo Hadi mwisho Kama hivyohamisha choo cha public ,uweke dirisha ili corridor ipumue
depending on artificial light and ventilation is totally failure in design.natural lighting and ventilation is recommended.pia hakuna aliyemwambia design ya hili lo corridor refu ndio design ya kisasa,ila yeye ameomba ushauri kupitia iyo ramani yake yenye hilo li corridor na sisi tumeshauri technical issues tuDirisha la nini nyie? Kwanza ramani zote za kisasa corridor haipaswi kuwa mwanzo Hadi mwisho Kama hivyo
Mi naona hii ya zamani sana, jaribu kucheki design nyingineNdugu mwana Jukwaa hili, ninajaribu kujenga picha kichwani ya kamjengo hata nikikajenga miaka mitatu ijayo.
Picha niliyonayo kichwani inaendana na ramani hii niliyojaribu kuchora hapa, japo roughly.
Naomba maoni yako, wapi parekebishwe, kipi kikae vipi.
Kutakuwa na choo cha nje pia.
Pia ukinipa makadirio ya gharama za msingi huu kwa maeneo ya Dar es Salaam nje kidogo ya mji na eneo tambalale kiasi nitashukuru sana.
View attachment 1927665View attachment 1927664
Hiyo sio ramani ni sketch sasa hukaichora kwa skeli ukipeleka kwenye vipimo halisi vya tape lazima viumane.Ndugu mwana Jukwaa hili, ninajaribu kujenga picha kichwani ya kamjengo hata nikikajenga miaka mitatu ijayo.
Picha niliyonayo kichwani inaendana na ramani hii niliyojaribu kuchora hapa, japo roughly.
Naomba maoni yako, wapi parekebishwe, kipi kikae vipi.
Kutakuwa na choo cha nje pia.
Pia ukinipa makadirio ya gharama za msingi huu kwa maeneo ya Dar es Salaam nje kidogo ya mji na eneo tambalale kiasi nitashukuru sana.
View attachment 1927665View attachment 1927664
Hii vipi mkuuOk, ramani yako sio mbaya sana lakini vyoo vyako vimeziba eneo la dirisha lililotakiwa kuingiza mwanga kwenye kolido lako, kwa hiyo utalazmika kuweka taa kwenye kolido itakayokuwa inawaka masaa yote kuondoa giza, Pia mfumo hewa una shida kidogo labda uimprove kwa kuweka vigae vya kuingiza hewa maeneo ya juu ya madirisha!
Pia jaribu kuingia ndani kidogo ili kuweka kona ili kuongeza shepu ya sura ya nyumba!
Hope, wajuzi wa ramani wanaweza kukusaidia kuhusu vipimo na mabo mengine!
Iko poa!Hii vipi mkuu
View attachment 1928199
Achana na kujichorea mwenyewe, tafuta mtaalamu akuchoreeHii vipi mkuu
View attachment 1928199
Sawa, hazipo huko kwingine yeye anataka kwenye nyum ba yake ziwepo!Achana na kujichorea mwenyewe, tafuta mtaalamu akuchoree
Sasa hivi corridor za hivyo hakuna.
Sasa Kama anataka ziwepo kwenye nyumba yake, iweje aje kuomba ushauri humu?Sawa, hazipo huko kwingine yeye anataka kwenye nyum ba yake ziwepo!
Wataalamu wa kuchora nao wapigaji sana unakuta mtu anatoa kopy tu ya ramani ya nyumba nyingine lakini anakupiga 250k!
Nimeomba ushauri ili niweze kurekebishwa namna hiyo. Ndo maana nimejaribu kufanya marekebisho kidogo kama hii hapa chini.Sasa Kama anataka ziwepo kwenye nyumba yake, iweje aje kuomba ushauri humu?
Sasa hivi kuna corridor za vipi?Achana na kujichorea mwenyewe, tafuta mtaalamu akuchoree
Sasa hivi corridor za hivyo hakuna.
Mkuu umeuliza swali zuri sana. Huyu mweshimiwa angetuwekea sample ya corridor za kisasaSasa hivi kuna corridor za vipi?