yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Ndugu mwana Jukwaa hili, ninajaribu kujenga picha kichwani ya kamjengo hata nikikajenga miaka mitatu ijayo.
Picha niliyonayo kichwani inaendana na ramani hii niliyojaribu kuchora hapa, japo roughly.
Naomba maoni yako, wapi parekebishwe, kipi kikae vipi.
Kutakuwa na choo cha nje pia.
Pia ukinipa makadirio ya gharama za msingi huu kwa maeneo ya Dar es Salaam nje kidogo ya mji na eneo tambalale kiasi nitashukuru sana.
View attachment 1928447
View attachment 1929226