Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Hili ni swali kweli? Msiwe mnaingia huku mkiwa watupu vichwaniSasa hivi kuna corridor za vipi?
Ulioma wapi ramani ya Sasa corridor ikatoka mwanzo wa ukuta mpaka mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni swali kweli? Msiwe mnaingia huku mkiwa watupu vichwaniSasa hivi kuna corridor za vipi?
Haya kajenge hiyo nyumba. Hakuna ramani yoyote ya kisasa yenye dirisha kwenye corridorMkuu umeuliza swali zuri sana. Huyu mweshimiwa angetuwekea sample ya corridor za kisasa
Nimejaribu kurekebisha mkuu. Iliyorekebishwa nimeiweka hapo juu. Na yenyewe unanishaurije?Haya kajenge hiyo nyumba. Hakuna ramani yoyote ya kisasa yenye dirisha kwenye corridor
Acha ujuaji. Tuwekee hizo corridor za kisasa tuone umahiri wako kwenye ramani.Hili ni swali kweli? Msiwe mnaingia huku mkiwa watupu vichwani
Ulioma wapi ramani ya Sasa corridor ikatoka mwanzo wa ukuta mpaka mwisho