Vladmir Putin
Senior Member
- Mar 14, 2016
- 139
- 70
Nina laki tano , ila sijui nifanye biashara gani niweze kuizungusha ..
Naombeni mawazo yenu wanajammvi ...
Nashukuru
Naombeni mawazo yenu wanajammvi ...
Nashukuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazo la biashara linaanza na wew mwenyewe ila kwa haraka haraka angalia fursa katika maeneo yanayokuzunguka kwanza maana laki tano sio ndugo wala si kubwa ya kuwaza vitu vikubwa zaidiNina laki tano , ila sijui nifanye biashara gani niweze kuizungusha ..
Naombeni mawazo yenu wanajammvi ...
Nashukuru
sawa kaka ...mimi naishi hapa dar maeneo ya bunjuDuuuh
Sijajua uko sehemu gani mkuu
Maana mazingira aliyopo mtu ndio yanaweza kukupa cha kumshauri mtu
DuuuuMimi katika hapa nlienda tanga kwenye milima ya usambara huko...nlifata iriki Huko nlinunua kg1 kwa 14000/ na nliweza nunua kg35 nkitumia kama 490000/ nlipokuja dar Bei haikuwa nzuri ila mwenzangu akikimbia amepata soko dodoma kg1 wanachukua kwa 27000 kwa kg...sasa ye akautuma mzigo dom....pesa tuliyokuwa tunategemea kupata Huko ni 945000/
Ova