Naomba Mawazo ya Biashara,,,

Naomba Mawazo ya Biashara,,,

Vladmir Putin

Senior Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
139
Reaction score
70
Nina laki tano , ila sijui nifanye biashara gani niweze kuizungusha ..

Naombeni mawazo yenu wanajammvi ...

Nashukuru
 
Duuuh

Sijajua uko sehemu gani mkuu

Maana mazingira aliyopo mtu ndio yanaweza kukupa cha kumshauri mtu
 
Nina laki tano , ila sijui nifanye biashara gani niweze kuizungusha ..

Naombeni mawazo yenu wanajammvi ...

Nashukuru
wazo la biashara linaanza na wew mwenyewe ila kwa haraka haraka angalia fursa katika maeneo yanayokuzunguka kwanza maana laki tano sio ndugo wala si kubwa ya kuwaza vitu vikubwa zaidi
 
Mimi katika hapa nlienda tanga kwenye milima ya usambara huko...nlifata iriki Huko nlinunua kg1 kwa 14000/ na nliweza nunua kg35 nkitumia kama 490000/ nlipokuja dar Bei haikuwa nzuri ila mwenzangu akikimbia amepata soko dodoma kg1 wanachukua kwa 27000 kwa kg...sasa ye akautuma mzigo dom....pesa tuliyokuwa tunategemea kupata Huko ni 945000/

Ova
 
Duuuu
 
Msaada wana jamvi
Naomba kujuzwa juu ya masharti ,sheriA Na taratibu za kufungua cosmetics shop pamoja na mtaji minimum wa kuanza nao
Asalaam nawasilisha
 
Msaada wakuu: Mwenye taarifa naomba anisaidia wapi naweza pata Paper rolls hapa nchini (za A4/A3) kama hii
images-jpeg.819880

Asanteni
 
Back
Top Bottom