Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
rahisi tu hat kama kuna science na tech umuhimu wa learning theories kama behaviorist nk upo tu Ila sayansi inasaidia theory kufanya kazi .hapo ongelea mchango wa kila theory ktk kujifunza.Umejaribu ku-google na ukaikosa?
rahisi tu hat kama kuna science na tech umuhimu wa learning theories kama behaviorist nk upo tu Ila sayansi inasaidia theory kufanya kazi .hapo ongelea mchango wa kila theory ktk kujifunza.
Kiukweli hapo google hakuna maelezo ya moja kwa moja kuhusu hilo swali, nimejaribu ku-google lakini sijapata kitu.Umejaribu ku-google na ukaikosa?
rahisi tu hat kama kuna science na tech umuhimu wa learning theories kama behaviorist nk upo tu Ila sayansi inasaidia theory kufanya kazi .hapo ongelea mchango wa kila theory ktk kujifunza.
Sijakuelewa kabisa mkuu, hapo naona umetaja hizo learning theories tu, vipi sasa kwa mawazo yako, jinsi gani naweza kujibu hilo swali?behaviorism,cognitivism,social,motivation and humanistic.source my lecture
Unasoma chuo gani wewe, acha kugandisha ubongo wako wakati bado kijana...
Nenda SOED pale au CASS utapata ufumbuzi ndani ya sekunde chache tena kutoka kwa 1st yr
paparazzi, hapo haujajibu kitu. Naomba mawazo yako kuhusu namna ya kujibu hilo swali kama unaweza, kama haijakupendeza ni bora ukakaa kimya, unaposema niende/aende SOED au CASS unailaidhalilisha elimu yako, suala la kusoma chuo gani linahusika vipi? tena kwa dharau unasema "utapata ufumbuzi ndani ya sekunde chache, tena kutoka kwa 1st yr" kweli hilo swali unaweza kulijibu kwa sekunde chache? Naomba niishie hapa, nasubiri mawazo yako na sio kejeli.Unasoma chuo gani wewe, acha kugandisha ubongo wako wakati bado kijana...
Nenda SOED pale au CASS utapata ufumbuzi ndani ya sekunde chache tena kutoka kwa 1st yr
mkuu, hapo naona umetaja hizo learning theories tu, hoja ndo hizo.kama vp unaweza modify
Mimi nahisi jaribu kuangalia criteria for judging theories of learning, wengine huziita criteria for judging philosophy of education or learning. ambazo km sikosei zipo tano.
1)Based on qualitative and quantitative research findings. i-e
Quantitative involves statistical,empirical/scientific analysis of data and their interpretation.(Separation Of truth from error)
Qualitative involves the use of descriptive data, distinguish beauty from ugliness, devides right from wrong.
2)Comprehensive in its outlook and nature.
-should not be one sided, -derive its content from whole range of human experience and address squarely all problems of learning.
Hence it should:
-strike a balance between demmands if individuals and of society.
-strike a balance btn demand of childhood and maturity.
-take into account all the groups and classes of all sectors of the society.
3)Consistent and clear in its several section.
There must be
-consistency and clarity btn theory and practice i-e teaching/theory and learning process.
-aims and methods of learning.eg preparation of students for employment v/s join secondary schools or universities. Also learner cantered v/s teacher cantered approach.
4)Practical in its provision.
Should be
-adaptable to a particular time and place
-consider existing condition of life and civilization.
-take account the great social trends that characterise the age.
5)Satisfying to its adherents of followers.
-supported by its followers.
-pleasing, appealing, and also appear true, or otherwise, it will be rejected by its followers/supporters.
Niwie radhi ikiwa nimeenda mrama kdg, si unajua mwenzio elim ndogo
Hiki kizazi!!??
Hata kugugo unaona tabu unataka ushushiwe majibu mazima mazima.
Ndo nyie mkipewa wizara, hata hotuba mnashindwa kusoma.
mfano; badala ya Tanganyika and Zanzibar, mnasoma Tanganyika and Zimbabwe.