Mchagapori
Member
- Sep 6, 2012
- 49
- 11
Amemaliza ku-bleed kam wiki imepita. Katika kujicheki chini huko leo ameona kama vijipandevipande vya damu vimemtoka huko kunako. Ila ni kidogo sio ile saaana.
Wadada kwa wakaka hem naombeni mawazo hii kitu yawezakua nini?
Eti kwa woga woga wake anaona huenda ikawa mis-carriage fulani hivi!!!! Ni kweli yawezatokea hivi????
Nipeni mawazo yenu nitashkur
Maelezo yako yanajichanganya mbona? Inawezekana vp mtu a-bleed at the same time n mjamzito?! Na kwa maana hiyo basi inawezekana may be hakujisafisha vzr au hajamaliza vzr period