Naomba mawazo yenu,sababu siku zinavyoenda nazidi kuchanganyikiwa.

kamagetac

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
2,479
Reaction score
643
Habari wana JF
Form IV nilifeli nilipata division IV,nikarisit nikapata credit ya kuniwezesha kufanya mtihani wa kidato cha sita pia nilifeli, nilipata division III somo nililofaulu ilikuwa Divinity.

Sikukata tamaa nilienda kusoma Certificate ya IT IFM nikapata UPPERSECOND, nikaunganisha nikasoma Advanced Diploma in Tax Management tena nilipata mkopo 100% nikapata Lower second.Na tangu nimalize chuo 2008 mpaka leo nimetafuta kazi sijawahi kupata.

Nikaamua kujiendeleza tena nika apply MZUMBE nimesoma MBA-CM tumemaliza tunasubiri kuandika research, sasa najiuliza kwanini nikiomba kazi sipati? ni kwa sababu nilifeli before au? na kama ni hivyo kwa nini vyuo vinapokea watu kama mimi? maana muda unakwenda nahisi kuchanganyikiwa.Naomba ushauri wenu wadau.
 
kiongozi hutakiwi kukata tamaa kwenye mambo haya, kuna watu ninaowajua walipata kazi wakati wamekata tamaa kabisa. Nakushauri usiache kuomba kazi, tuma barua hingi kwa kadri uwezavyo na endelea kuomba na kusubiri!! katika mda usiotarajia watakuita.
Kingine watu wanaangalia vitu vya ziada ulivyo navyo, hivyo kama kuna vikozi vya professions mbalimbali ambavyo ni hot cake kwenye field yako jaribu kuvisoma pia, vitakuongezea kitu fulani...
All in all, NEVER... NEVER GIVE UP!!
 
  • Thanks
Reactions: keh
Pole kaka in the same trouble unaumiza sana ukisoma kwa mizengwe afu bado unanza kupata matumaini ghafla yanazimika please naomba unitafute tushauriane about kujiajiri maana ata Mimi almost nasuffer the same problem ajira sio mpango kaka salsa hivi.
 
Habari wana JF
Form IV nilifeli nilipata division IV,nikarisit nikapata credit ya kuniwezesha kufanya mtihani wa kidato cha sita pia nilifeli, nilipata division III somo nililofaulu ilikuwa Divinity.

Sikukata tamaa nilienda kusoma Certificate ya IT IFM nikapata UPPERSECOND, nikaunganisha nikasoma Advanced Diploma in Tax Management tena nilipata mkopo 100% nikapata Lower second.Na tangu nimalize chuo 2008 mpaka leo nimetafuta kazi sijawahi kupata.

Nikaamua kujiendeleza tena nika apply MZUMBE nimesoma MBA-CM tumemaliza tunasubiri kuandika research, sasa najiuliza kwanini nikiomba kazi sipati? ni kwa sababu nilifeli before au? na kama ni hivyo kwa nini vyuo vinapokea watu kama mimi? maana muda unakwenda nahisi kuchanganyikiwa.Naomba ushauri wenu wadau.

Namba yangu 0719666099
 
Anza mipango ya kujiajiri,umesomea maswala ya kodi:Anzisha Firm ya Tax consultancy upige hela wewe.Unawaza kuajiriwa!
 
Back
Top Bottom