Habari wana JF
Form IV nilifeli nilipata division IV,nikarisit nikapata credit ya kuniwezesha kufanya mtihani wa kidato cha sita pia nilifeli, nilipata division III somo nililofaulu ilikuwa Divinity.
Sikukata tamaa nilienda kusoma Certificate ya IT IFM nikapata UPPERSECOND, nikaunganisha nikasoma Advanced Diploma in Tax Management tena nilipata mkopo 100% nikapata Lower second.Na tangu nimalize chuo 2008 mpaka leo nimetafuta kazi sijawahi kupata.
Nikaamua kujiendeleza tena nika apply MZUMBE nimesoma MBA-CM tumemaliza tunasubiri kuandika research, sasa najiuliza kwanini nikiomba kazi sipati? ni kwa sababu nilifeli before au? na kama ni hivyo kwa nini vyuo vinapokea watu kama mimi? maana muda unakwenda nahisi kuchanganyikiwa.Naomba ushauri wenu wadau.