Naomba mawazo yenu

Amenichefua sana huyo dada! hana aibu hata moja kha!

dadangu wala usichefuke, huyu dada ni ile jamii ya "kama kukosa tukose wote lakini kupata nipate mimi".

Alipata mimba akamficha hata aliyempa kiasi cha kutoa bila signature yake, halafu akamtumia mshkaji weee alipopata mbawa akaruka tena, sasa mbawa zimenyonyoka manyoya karudi... yakiota tena atarudi

She needs to be reported for harrasing a newly wedded couple na mtoto wao
 
kaka we ni mvumilivu sana na una upendo. ila kabisa inabidi apotee kwenye anga zako, ingekuwa mimi ningemtwanga
 
kaka we ni mvumilivu sana na una upendo. ila kabisa inabidi apotee kwenye anga zako, ingekuwa mimi ningemtwanga

Tuko pamoja, ila kwa kumsaidia nisingemtwanga ila ningempeleka polisi wammsweke ndani japo kwa siku tatu
 
Hadith tamu. Keep it up, kama vipi mpatie Shigongo akuandikie kitabu.
 
Hadith tamu. Keep it up, kama vipi mpatie Shigongo akuandikie kitabu.

Sio hadithi tu...ni hadithi ya ukwelina xperience maishani.. Unavyoongea ni kama unakebehi wewe, na umechukulia kama mchapo..Put a helping word pal!
 
Wazazi ako hawana mashamba ya pamba?
Mwache alime bana hasikuzingue huyo, hayo mazinguo aliyokwisha kupa yanatosha.
 
Sio hadithi tu...ni hadithi ya ukwelina xperience maishani.. Unavyoongea ni kama unakebehi wewe, na umechukulia kama mchapo..Put a helping word pal!
Achana nae huyo watu wengine wamezoea kuponda kila kitu!! hapo anataka umjibu ndivyo sivyo aanze kuporomosha Matusi! This is True story na Jamaa namfahamu!!
 
Kama hujaimind kisa wewe kiache....
Kula tano Mkuu, jamaa kwanini hasipotezee tu mpaka haaribu mood za wachangiaji wengine ndio moyo wake uneemeke. Mwe!!
 
Mheshimiwa wala huitaji ushauri maana hakuna cha kuongea naye, jikalie kimya jali family yako na wazazi wako.
Huyu mwache dunia imchape kwanza.
 
Kama hujaimind kisa wewe kiache....

Sipo said:
Kula tano Mkuu, jamaa kwanini hasipotezee tu mpaka haaribu mood za wachangiaji wengine ndio moyo wake uneemeke. Mwe!!

Tatizo lenu ni nini? Hamjauona mchana au ?? Ushauri nimempa mleta kisa ..nyie mwaanza kuwashwa.

BTW, kiongozi MTM pole la kipigo cha jana..ndo ukubwa huo.. 😀
 
Kaka pole sana sasa cha kufanya kabla we hujaenda huko Mtume yule Mdogo wako aende akamtoe ikibidi hata awalete polisi maana najua wazazi wana roho ya huruma!
 
Mheshimiwa wala huitaji ushauri maana hakuna cha kuongea naye, jikalie kimya jali family yako na wazazi wako.
Huyu mwache dunia imchape kwanza.
Tatizo huyo Demu yupo kwa wazazi wake na kagoma kuondoka wazazi wanashindwa kumuondoa!!
 
Tatizo huyo Demu yupo kwa wazazi wake na kagoma kuondoka wazazi wanashindwa kumuondoa!!

si yupo likizo huyo accoeding to Edson? likizo ikiisha ataondoka mwenyewe vinginevyo wamtafutie chombo cha dola wapate msaada!!!
 
Tatizo lenu ni nini? Hamjauona mchana au ?? Ushauri nimempa mleta kisa ..nyie mwaanza kuwashwa.
Mkuu naomba usitoe tusi jingine, tuendelee kumpa ushauri mdau ili aondokane na masahibu haya
 
haya mambo yapo, wengine yalishatukuta mazito sana, wanawake toka taliban wengi ni wafanyabiashara na wanaangalia faida!
usifanye jambo kwa kushauriwa na mtu, jiulize mambo yafuatayo:
Unampenda kiasi kwamba-
1. unaweza kuachana na mkeo kwa ajili yake?
2. Unaweza kuvumilia maumivu mengine baadaye?
Kama umejibu ndiyo kwenye moja kati ya maswali hayo, basi msamehe na mrudiane, kama hukujibu ndiyo, basi msamehe aendelee na maisha yake kivyake..MPOTEZEYE!
 
Mkuu naomba usitoe tusi jingine, tuendelee kumpa ushauri mdau ili aondokane na masahibu haya

How about you mind your own bizness? Usitake kila mtu achangie unavyotaka wewe..hii ni public forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…