kibaa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 717
- 178
Kunywa pombe yai litapanda tu
duh hii ni kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa pombe yai litapanda tu
wazungu kweli nuksi,ulaya unakuta kitoto kidogo kinaongea kiingereza
Wakati anafanya hayo anaweza kuonekana chizi
Hakikisha Unalala Vema Kwa Usasahi Huku Kichwa Na Kiwiliwili vimenyooka ukiwa umelala chali...
fanya yafuatayo kujifunza zaidi ya kingereza...
1:
hakikisha Unapendelea Kusikiliza Nyimbo,Tizama Habari Na Mafundisho Ya Dini,Movies Na Vichekesho Abavyo vipo katika lugha ya kingereza...
2:
Kila Ukiwa Na Wazo Liwaze Kingereza Hata Kama SIO neno sahihi unaloliwaza kingereza mradi ubongo wako unakubali hapa unawaza kitu fulani ila kingereza baada ya zoezi kwa siku kadhaa...
3:
anza kuiga vile walivyokuwa wakiongea au kuimba kwenye zile movies au videos ukiona umepatia patia... chagua maneno yanayokuja kuja kichwani ya kizungu na chukua dicctionary utizame ukipata maana haitoki tena fuatilia kwanza maneno yanayoletwa na ubongo ni rahisi kukariri...
4: kuiga waliovyo zungumza kutakupa wepesi wa kutamka maneno yale na usiyafiche tamka hata https://jamii.app/JFUserGuide you au damn mbele za watu wakikucheka unawaambia sijui nahitaji kujifunza watakupa tafsiri sasa ile point ya https://jamii.app/JFUserGuide you haitatoka ubongoni utakumbuka niliwahi kusema hivi nikachekwa kumbe ni hv ongea broken hovyo hovyo tu hata na watoto wa nusery itakusaidia sana kuhifadhi...
5:
ama mwisho kabisa na yenye power zaidi waweza kutumia lucid dreams iliyopo kwenye uzi wangu na ukaweza fundishwa kiroho zaidi na akili yako mwenyewe...
"Rakims"
Inaelekea Rakims unamadini ya kufa mtu, ila nahitaji unieleze kidogo mafaniko uliyoyapata hasa kimahusiano na kiuchumi!
Nikikuhadithia Mafanikio Yangu Wewe Hayatakufaa Maana Kila Mtu Na Goals & Desire Zake Nikikwambia Mfano Nikikuangalia Nakuskia Unayowaza ItakuaSaidia Nini Wakati Wewe Una Mood Ya Kichaga Mkuu?
"Rakims"