Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 244
- 439
AsanteUkikosa humu ingia google andika ukitacho utapata mbinu nyingi
Shukrani mkuuSaga pilipili kisha pulizia kunguka banda
Wategee mayai viza yaliyochemshwaWakuu naomba maarifa ya jinsi ya kuwazuia vicheche maana wanaingia bandani kwa kuku wanakula mayai.
Mahali ninapoishi kuna uzio wa senyeng'e so wanaingia mahali kuku hutaga na kuchukua mayai.
Mbwa kwa sasa siwezi kufuga naombeni njia njingine tafadhali.
Nimeshawashuhudia kwa macho yangu ni vicheche,yes wanakula kuku pia walishanilia kuku wadogo..wanawakata shingo wanakunywa damu unakuta mzoga tu.Kicheche huwa wanakula kuku piya, chunguza vizuri kinachokula mayai, inawezekana panya ndiyo wanaokula mayai.
Kicheche kikiingia katika banda la kuku huwa wanakamata kuku siyo mayai.
[emoji120][emoji120][emoji120]Saga pilipili kisha pulizia kunguka banda
Oooh thanks,nitafanya hivyoWategee mayai viza yaliyochemshwa
amu noti shua kwa kweli.Ni yule kicheche mpenda ngono?
Hahaha nimejaribu kufikiria kama ndo raia unapewa yai viza lililochemshwa, nimecheka sana[emoji23].Wategee mayai viza yaliyochemshwa
Imagine anakula kicheche halafu likifika tumboni digestion inashindwa kufanyika [emoji23] atatamani kurudi kinyumenyume bandani alinye kama lilivyo maana kulitapika haweziHahaha nimejaribu kufikiria kama ndo raia unapewa yai viza lililochemshwa, nimecheka sana[emoji23].
Mkuu kicheche hamezi yai kama kenge, kama halijapasuka hali. Kicheche akija kula mayai bandani utajua kwa sbb utakuta mayai yamevunjwa sana. Huwa wanayapigiza mayai kwenye ukuta yakivunjika wanakula. Kwa maana hiyo yai la kuchemsha halimtegi kichecheWategee mayai viza yaliyochemshwa