Naomba mbinu za jinsi ya kufaulu Aptitude Test za Utumishi (PSRS)

sam mirror 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2022
Posts
969
Reaction score
2,318
Habari wakuu samahani,

Kama kuna yeyote ambaye amewahi pitia usaili wa online na akafauru vizuri mpaka kufika oral nilikuwa naomba atupe mbinu na alitumia web site gani kujiandaa na usaili.

Asante.
 
Kiukweli nikwambie ni neema tu. Nikikwambia ni kujiandaa sana, mimi nilijiandaa sana ila maswali niliokuta mule yalikua ya general knowledge na sio vitu nilivyosoma. Kuwa na uelewa general na field yako plus soma vile vitu updated vinavyotrend. Kama medicine, utajiandaa na modern pressing issues...just guessing. Zaidi sali sana upate neema ya kukuvusha hatua ingine.
 
Zamani kidogo ilikuwa ni current issues, research, duties and responsibilities.

Siku hizi hayo ya online test wacha waje waliofanya wakupe ABC.
 
Kiukweli nikwambie ni neema tu. Nikikwambia ni kujiandaa sana, mimi nilijiandaa sana ila maswali niliokuta mule yalikua ya general knowledge na sio vitu nilivyosoma. Kuwa na uelewa general na field yako plus soma vile vitu updated vinavyotrend. Kama medicine, utajiandaa na modern pressing issues...just guessing. Zaidi sali sana upate neema ya kukuvusha hatua ingine.
Nouma ko saizi sio unajua nn bali ni kubahatisha
 
Back
Top Bottom