sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
Zamani kidogo ilikuwa ni current issues, research, duties and responsibilities.Habari wakuu samahani,
Kama kuna yeyote ambaye amewahi pitia usaili wa online na akafauru vizuri mpaka kufika oral nilikuwa naomba atupe mbinu na alitumia web site gani kujiandaa na usaili.
Asante.
Nouma ko saizi sio unajua nn bali ni kubahatishaKiukweli nikwambie ni neema tu. Nikikwambia ni kujiandaa sana, mimi nilijiandaa sana ila maswali niliokuta mule yalikua ya general knowledge na sio vitu nilivyosoma. Kuwa na uelewa general na field yako plus soma vile vitu updated vinavyotrend. Kama medicine, utajiandaa na modern pressing issues...just guessing. Zaidi sali sana upate neema ya kukuvusha hatua ingine.
Hatari mkuu bora na nyie ani.Zamani kidogo ilikuwa ni current issues, research, duties and responsibilities.
Siku hizi hayo ya online test wacha waje waliofanya wakupe ABC.