daah..huyu anakatisha tamaa kweli!"Najua unanidai lakini usinidai hvo mm nikipata nitakupa maana hata mm matatzo yangu sijayasajili basata au cosota kwamba ni yangu tu pekee"
Kuna muda nikimuangalia nacheka mwenyeweKama una ushahidi wa watu Au maandishi mpeleke serikali za mitaa huko mfikie muafaka maana kwa majibu hayo mwisho wa siku msije mkagawanA majengo
Kesi za madai zote sikuhizi zinasikilizwa kata na s/mtaa
Polisi ni kuanzia madai ya mil3
Inaumiza sana pale mdeni wako unapomuona anatoboa tu alafu wewe anakujibu shombo bora mtu awe na kauli nzuri hata kama hana nia ya kulipa