Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
kwa nyumba ya mita 11 kwa 7Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni kujua MCHANGANUO WA GHARAMA za ujenzi wa nyumba ya chumba kimoja master na sebule kiwanja tayari Ninacho tofali Ninazotarajia kitumia Ni za cement (mchanga mtupu+cement)
Natanguliza shukrani zangu.
1.Blocks si chini ya 1400 (inategemea na kozi za msingi utakaojenga) wastani hizo 400 zote zinaingia kwenye msingi
2.Cement mifuko 25 kutumika pia katika beam la lenta.
3.Nondo mm12 si chini ya 20
4.Bati si chini ya 20
vingine wataongezea wataalamu