kwa nyumba ya mita 11 kwa 7Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni kujua MCHANGANUO WA GHARAMA za ujenzi wa nyumba ya chumba kimoja master na sebule kiwanja tayari Ninacho tofali Ninazotarajia kitumia Ni za cement (mchanga mtupu+cement)
Natanguliza shukrani zangu.
huyo fundi gharama sana,yaani kusimamisha chimba na sebule ifike 700k?Msingi laki tatu boma 250,000 lenta 150,000 au kwa kila tofali TZS 500+ 200,000 ya usimamizi
Mkuu,hii ni kazi,au unataka fundi wa bei chee ambaye anaishia kuiba cement etc mradi apate hela?Unafikiri ni Choo anajenga?huyo fundi gharama sana,yaani kusimamisha chimba na sebule ifike 700k?
kujenga itakuwa ngumu aisee
Mkuu,unafikiri nimekadiriaje?Hio inaitwa ceteribus peribus au kwa ufupi ni assumptions/makadirio na sio actual bill of quantity.Vipi fundi una mudi ya kubishana na engineer?Utata wa kwenye nondo ni upi?ndugu umekadiriaje hapo wakati hata vipimo hajatoayawezekana hizo tofali zikawa za msingi tu zikabaki kidogo.
nondo hapo pia utata
sawa engineer....Mkuu,unafikiri nimekadiriaje?Hio inaitwa ceteribus peribus au kwa ufupi ni assumptions/makadirio na sio actual bill of quantity.Vipi fundi una mudi ya kubishana na engineer?Utata wa kwenye nondo ni upi?
Good then,unachofanya unaweka estimates zako.The Boss ataangalia zipi zinamfaa anakupa kazi.Kama unaona kuna kitu kimepungua basi tunaambianasawa engineer....
sipo hapa kubishana,nipo hapa kupeana/kubadilishana ujuzi/uelewa,so kama upo hapa kubishana ndugu engineer mimi sipo huko.kwaheri
Bado ikoChumba sebule,Jiko na Choo,Ukubwa wa Chumba ni futi 10.Sina Picha yake.Ila kama una pesa iko ambayo unaweza kumalizi na kuhamia kwa gharama ya Milioni 9.5.Tuwasiliane PM kama utapenda.Imeshaezekwa na Madirisha,Iko Gezaulole Kigamboni
ishaenda nikutafutie ingine?Bado iko