Naomba mkeka ajira za ualimu 24/25

Naomba mkeka ajira za ualimu 24/25

Mwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls
Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni.
Natanguliza shukrani🙏
Huwezi kupata ajira bila kupitia usaili mkuu! Achana na hao! Endelea kufuatilia kwenye website ya sekretariati ya ajira muda sio mrefu mtaitwa kwenye usaili ! Jiandae hivyo saiv hamna kazi ya moja kwa moja! Mpo wengi
 
Back
Top Bottom