Ritchy Breezy
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 479
- 727
Huwezi kupata ajira bila kupitia usaili mkuu! Achana na hao! Endelea kufuatilia kwenye website ya sekretariati ya ajira muda sio mrefu mtaitwa kwenye usaili ! Jiandae hivyo saiv hamna kazi ya moja kwa moja! Mpo wengiMwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls
Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni.
Natanguliza shukrani🙏
Wametoa wa Afya walimu bado tuendelee kusubiriMwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls
Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni.
Natanguliza shukrani🙏
🙏🙏Ayajatoka Bado.
Yametoka ya usahili wa afya TU ya usahili wa walimu kuanzia tarehe 5 huko uwenda NAO wakaitwa Kwa usahili
🙏🙏shukrani mkuuWametoa wa Afya walimu bado tuendelee kusubiri
Kama ni ivyo simoKuna sms anatembea kwenye magroup kuwa kama hujaona mkoa uliopangiwa kwenye ajira portal basi imetoka , sijui ni kweli?
Waalimu tulieni, acheni mawenge.Kuna sms anatembea kwenye magroup kuwa kama hujaona mkoa uliopangiwa kwenye ajira portal basi imetoka , sijui ni kweli?
Kuna sms anatembea kwenye magroup kuwa kama hujaona mkoa uliopangiwa kwenye ajira portal basi imetoka , sijui ni kweli?
Bila shaka washapata mkeka