Naomba mkopo ili niweze kuweka sawa mambo yangu yanayonikabili.

Jingalao

Senior Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
122
Reaction score
102
Wanajamiiforum ni imani yangu muwazima wa kama sio hivyo basi tuombeane.

Nahitaji mkopo wa 300,000/= nikae nao miezi mwili na marejesho yawe 500,000/= tarehe 31/08/2019.

Mambo ya riba mkopeshaji unaweza kupanga upya.
Kuhusu dhamana na kufahamiana zaidi njoo PM.
Napatikana Dar es Salaam
 
Nahitaji mkopo wa 500000/= nikae nao miezi mwili na marejesho yawe 800000/= tarehe 31/08/2019.

Mambo ya riba mkopeshaji unaweza kupanga upya.
Kuhusu dhamana na kufahamiana zaidi njoo PM.
Napatikana Dar Ubungo.
Collateral uko tayari kuweka nini?
 
Wanajamiiforum ni imani yangu muwazima wa kama sio hivyo basi tuombeane.

Nahitaji mkopo wa 300,000/= nikae nao miezi mwili na marejesho yawe 500,000/= tarehe 31/08/2019.

Mambo ya riba mkopeshaji unaweza kupanga upya.
Kuhusu dhamana na kufahamiana zaidi njoo PM.
Napatikana Dar es Salaam
Mimi sitaki kuja pm. Ila mpunga nakupa fasta haina longo sema ulete Mali ya shs 500,000/= ili ukinizingua nauza hicho kitu kwa hiyo pesa nasepa zangu. Kibinadam ukichelewesha kunipa pesa yangu nakuongezea miezi 2. Baada ya hiyo sicheki na kima na wala usinitafte
 
NimekuPM namba ya simu.
 
Tala,branch,Tigo nivushe,timiza,Voda....Ungekuwa una history nzuri ya mikopo ungekopa kwenye mitandao tajwa hapo kwa kiwango ulichokitaja.Tatizo walio wengi wanajisifia kuwatapeli hao walioamua kutupa mikopo ya kiganjani,we need to change.Leo kumpata ndugu wa kukupa 100k and above ni mtihani kwelikweli!
 
Wanajamiiforum ni imani yangu muwazima wa kama sio hivyo basi tuombeane.

Nahitaji mkopo wa 300,000/= nikae nao miezi mwili na marejesho yawe 500,000/= tarehe 31/08/2019.

Mambo ya riba mkopeshaji unaweza kupanga upya.
Kuhusu dhamana na kufahamiana zaidi njoo PM.
Napatikana Dar es Salaam
ulishapata?
 
Back
Top Bottom