Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...Hudaiwi Bodi ya mkopo wa elimu ya juu???Habari za mda huu!!
jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !!
nitarudisha after 2 days!!
kwa yeyote alie serious PM
msaada Tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...Hudaiwi Bodi ya mkopo wa elimu ya juu???Habari za mda huu!!
jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !!
nitarudisha after 2 days!!
kwa yeyote alie serious PM
msaada Tafadhali
Mbona unazungumza kibabe sana,..anaetaka kutoa msaada ani PM
We nae punguza hizo kopa kopa bwana tena unakopa vijiela vidogoo si bora ukope kubwa utatue tatizo lako lote ubaki ubadaiwa sehemu moja kuliko hivinimekopahuko
niko katika marejesho