Naomba mkopo wa 30,000, nitarudisha baada ya siku tatu

Naomba mkopo wa 30,000, nitarudisha baada ya siku tatu

Status
Not open for further replies.
We nae punguza hizo kopa kopa bwana tena unakopa vijiela vidogoo si bora ukope kubwa utatue tatizo lako lote ubaki ubadaiwa sehemu moja kuliko hivi

Madam AJ, nami nina mpango wa kukuPM kukuomba mkopo wa Million 1 bila riba, na sina dhamana. Lol
-Kaveli-
 
Ktk unasema siku 3, ktk mada unasema siku 2. Hapo jumla siku 5. Muongo wewe, huwezi kulipa baada Xmass
 
Ktk unasema siku 3, ktk mada unasema siku 2. Hapo jumla siku 5. Muongo wewe, huwezi kulipa baada Xmass
moderator ndio wameweka hicho kichwa cha habari
 
We nae punguza hizo kopa kopa bwana tena unakopa vijiela vidogoo si bora ukope kubwa utatue tatizo lako lote ubaki ubadaiwa sehemu moja kuliko hivi
asante kwa ushauri
 
Habari za mda huu!!
jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !!
nitarudisha after 3days!!
kwa yeyote alie serious PM

msaada Tafadhali
Wewe ni wa kike au kiume
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom