NAOMBA MKOPO WA KUKUZA BIASHARA YANGU, FEDHA AU MZIGO WA NAFAKA.

All the best lad ! Cku hzi mambo yamegeuka ndg, shukuru MUngu kwa hicho kianzio kdg ulichonacho, pigana kiume kuza mtaji bila kushikwa mkono na mtu yeyote ! Mikopo ya siku hizi pasua kichwa, utaishia kuwafaidisha wenzio tu huku wewe ukiumiza kichwa !!!! Kwa umri huo Kama sio mzee wa totoz, na Mambo ya gambe kutoa mbona fasta tu ! Pambana aisee
 
Mimi ni kijana wa kitanzania, umri miaka 28... nina duka la kuuza nafaka kwa reja reja na jumla jumla hapa manzese karibu kabisa na kituo cha mwendokasi njia ya kwenda mburahati. Ni eneo zuri kibiashara, lina watu wengi hususani mama ntilie.

Duka lina document zote muhimu kama TIN,LESENI YA BIASHARA na risiti za ushuru mwingine kama service levy n.k.

Lengo ni kuomba mkopo wa kukuza biashara yangu ili kuendana na kasi ya ukuaji na uhitaji wa huduma. Mkopo wangu naomba katika mifumo ifuatayo

1. Pesa taslimu... hii itaniwezesha kununua nafaka kulingana na uhitaji

2. Mzigo /nafaka... hii ni kupewa nafaka kama mchele, mahindi,maharagwe n.k. Kwa wenye mizigo stoo wanaweza kunikopesha/ kuleta nikauza kwa makubaliano tutakayoafikiana.

Ndoto ni kubwa sana ila mtaji ni changamoto, naombeni msaada.

NB: kama una mzigo au biashara ya nafaka tunaweza kuongea ukatumia fremu yangu kwa makubaliano maalumu pia. View attachment 975906
Lengo ni kukuza biashara yako vizuri, unajua nuksi ya mkopo lakini ushauri wangu usijalibu utakuja kusombewa nafaka zako hapo dukani.
 
Mimi ni kijana wa kitanzania, umri miaka 28... nina duka la kuuza nafaka kwa reja reja na jumla jumla hapa manzese karibu kabisa na kituo cha mwendokasi njia ya kwenda mburahati. Ni eneo zuri kibiashara, lina watu wengi hususani mama ntilie.

Duka lina document zote muhimu kama TIN,LESENI YA BIASHARA na risiti za ushuru mwingine kama service levy n.k.

Lengo ni kuomba mkopo wa kukuza biashara yangu ili kuendana na kasi ya ukuaji na uhitaji wa huduma. Mkopo wangu naomba katika mifumo ifuatayo

1. Pesa taslimu... hii itaniwezesha kununua nafaka kulingana na uhitaji

2. Mzigo /nafaka... hii ni kupewa nafaka kama mchele, mahindi,maharagwe n.k. Kwa wenye mizigo stoo wanaweza kunikopesha/ kuleta nikauza kwa makubaliano tutakayoafikiana.

Ndoto ni kubwa sana ila mtaji ni changamoto, naombeni msaada.

NB: kama una mzigo au biashara ya nafaka tunaweza kuongea ukatumia fremu yangu kwa makubaliano maalumu pia. View attachment 975906
Huwa unaagiza nafaka mikoani au unachukua hapa dsm.?
 
Achana mkopo braza utapotea kwenye ramani ya dunia,
Tuulize sie! utauza kila kitu hapo na utakimbilia mikoani kukimbia madeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
komaa tu hivyo hivyo!
 
Kabisa mkuu unaweza ukawa kabla hujachukua mkopo biashara unauza fresh tu ngoja sasa ukope ni gundu.
 
In short mikopo mingi ni gundu, utaishia kuwaza marejesho na furaha inapotea unakuwa mnyonge!

Sitashauri mtu akope hasa kwa watu binafsi, raha ya kukopa uwe na dhamana ya mshahara!

Yaani unajikuta umekopa mawazo kibao hata kulala ni tabu unafikilia marejesho🤣🤣🤣🤣
 
Yaani unajikuta umekopa mawazo kibao hata kulala ni tabu unafikilia marejesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Noma sana, unapoteza hamu ya kula, kufanya mapenzi, unakuwa mkali, unakosa usingizi, unakuwa mwepesi wa kulaumiana na marafiki na ndugu zako! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom