Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba radhi kwa yote yaliyotokea. Nikipata msaada huu wa 20,000/= nakuahidi sitarudia tena, na nitajitahidi kubadilika kwa vitendo. Kwa sasa naomba sana msaada huu, Mungu akuwezeshe. πŸ™
 
Naomba Tafadhali Niko Real Na Niko Na Shida Katika Familia Angu πŸ™ 🀟 Naomba
 
Uyo anataka hela ya kwenda kutombea, nimemuwekea mkeka wa jero odds 40 mkeka ukitick natumia.

Huruma sio malezi
Acha fedhea ndg
Akianza kupelekewa moto, mtaanza kubwata na kumfokea, ili hali hapa hamumpi msaada wowote. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naumia sana niko really Ila naonekana Kama tp
 
Naomba radhi ndugu zangu, kwa sasa nimekwama sana. Kama kuna mwenye uwezo wa kunikopesha 20,000/=, naomba msaada tafadhali. Nikipata sitarudia tena hali hii, naahidi. πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…