Naomba mkopo wa tsh 20,000

Mkuu Mimi nipe kibarua, nimechoka kulima bustani kwenye nyumba ya cocastic
 
Sorry Broh, naona watu wote humu wanakukalia kimya na wanakutusi na kukudhihaki, mie naweza kujitolea kukupa msaada je uko tayari kwa masharti yangu? Tena mie sikukopeshi, nakupa na cha zaidi juu.

Serious.
 
Najua nimeomba mara kadhaa na huenda wengine mkachoka kuona maombi yangu. Naomba radhi sana. Kwa sasa nimekwama kweli, mwenye uwezo wa kunisaidia hata 20,000/= naomba anisaidie. Nikipata nafasi, nitarejesha fadhila kwa namna nitakavyoweza. πŸ™
 
Hajaomba kwetu wanaume pekee,pokea ombi pia.
 
Sorry Broh, naona watu wote humu wanakukalia kimya na wanakutusi na kukudhihaki, mie naweza kujitolea kukupa msaada je uko tayari kwa masharti yangu? Tena mie sikukopeshi, nakupa na cha zaidi juu.

Serious.
Asante sana broh, nimekupata. Niko tayari kusikiliza masharti yako kwa heshima. Kama kweli uko serious, niambie tuone namna ya kuendelea. Mungu akubariki kwa moyo wako wa kusaidia. πŸ™
 
Tatizo huweki wazi tukusaidiaje sasa ?

juzi nlikuulza unashida gani zungumza tujue tukupe solution gani ? Ukapotea.

Zungumza kama ni kazi tujue tunakusaidiaje mzee mbona unakuwa mzito !!
 
Najua nimeomba mara kadhaa na huenda wengine mkachoka kuona maombi yangu. Naomba radhi sana. Kwa sasa nimekwama kweli, mwenye uwezo wa kunisaidia hata 20,000/= naomba anisaidie. Nikipata nafasi, nitarejesha fadhila kwa namna nitakavyoweza. πŸ™
life255 wewe ni jinsia ya Ke ? Au ME
 
Naomba radhi ndugu zangu, kwa sasa nimekwama sana. Kama kuna mwenye uwezo wa kunikopesha 20,000/=, naomba msaada tafadhali. Nikipata sitarudia tena hali hii, naahidi. πŸ™
MKuu huna ndugu, jamaa au marafiki huko kwako mpaka ujifedheheshe humu kwa elfu 20?
 
Daaah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…