Naomba mkopo wa tsh 20,000

Boss umekaza kabisa kumsaidia kijana wa watu? Chomoa hata buku tatu hapo dukani mtumie janja
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimemfanyia ushawishi kwa nyie watu wema, mmeshindwa na kukataa katu katu kutoa msaada,

Sasa nikimpitisha njia zangu, sitaki kelele na mibwato yenu ya kinafiki.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu tapeli tu mkuu, achana nae
 
Nimekosea wapi hasa? Naomba mnifafanulie ili nijue makosa yangu na nijirekebishe. Kama nimewaudhi kwa namna yoyote, naomba radhi kwa dhati. Sina nia mbaya, napitia changamoto za maisha na naomba msaada wa mkopo wa 20,000 nitakaourejesha kama nitakavyokubaliana na atakayenisaidia. Naomba mnipe nafasi ya kujirekebisha. πŸ™
 
Kapime akili mkuu, kama sio utapeli ungekuwa husaidiwi kila siku usingekuwa unakuja humu kuomba.

Kuna watu wanamtumiaga hela huyu kwa huruma zao ndio mana anarud rudi kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…