Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 492
- 925
Mbona unapenda migongo wewe whyπ€Wewe kijana, watu wamesema shida nini? Na km hutaki kuweka matatizo yako wazi, basi useme wakutafutie kazi ili ujipatie pesa yako mwenyewe. Hebu toa ushirikiano kwenye hili.
Hakuna cha buree ujue? Au unataka mgongo ukunjwe?? Eeeh?
Em acha maneno, msaidie huyo mwenzio 20k, atakurejeshea. KhaahMbona unapenda migongo wewe whyπ€
Siumetisimanga hapo mamaUnatoka nje ya uzi wewe. Em fanya umsaidie mwenzio 20k atakurejeshea atii.
πππ
Nipe code mkuusheremaya si umsaidie huyu SCAMMER 20K ama umebakiza hela ya kusukia mkeka tu kama mimi!?
View attachment 3681817
πππSiumetisimanga hapo mama
ππEm acha maneno, msaidie huyo mwenzio 20k, atakurejeshea. Khaah
Kazi ipo, πππGen Z waongo waongo hawa,usikute kanataka hela ya lodge hapo.
Anaomba hela siku za game fatilia utaniambiaNaomba Mkopo wa TSh 20,000 β Nimekwama kwa Sasa
Habari wakuu wa JamiiForums.
Naomba kwa heshima kama kuna mdau mwenye uwezo wa kunikopesha TSh 20,000. Kwa sasa nimejikuta kwenye kipindi kigumu kifedha, na kiasi hicho kitanisaidia kuvuka changamoto ya dharura niliyonayo.
Ninaelewa si rahisi kumwamini mtu usiyemfahamu, ndiyo maana siombi kwa kulazimisha wala kwa kutunga hadithi za kuonea huruma. Naomba kwa uaminifu. Nikipata msaada, nitawasiliana vizuri na tutakubaliana namna na muda wa kurejesha fedha hizo.
Kama hutaweza kunikopesha, hakuna shida. Ushauri, kazi ya kufanya, au fursa...
- Mawazo255
- Replies: 162
- Forum: JF Chit-Chats
Uko wapi wewe ndugu ?NAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 π
Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani ya muda tutakaokubaliana.
Sio ombi la kuomba msaada wa bure, bali ni mkopo. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeguswa na kunisaidia katika kipindi hiki. Mwenyezi Mungu ambariki kila atakayejitokeza. π
Umekaa kimkakati sana jomba .Kaka tusilumbane ππ€π