1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
- Thread starter
-
- #161
πππ Shenzie huyu kumbe ni makamaria ,akili za wakamaria najizua vizuri nadhani sasa yupo kwenye phase ya kuwa addicted kbs ,dawa ni kumnyima bahati yake mods hawawezi kufungia account yakeAnaomba hela siku za game fatilia utaniambia
Huyu jamaa ni tapeli tu mkuu....Hata Ushimen kasema alimtafutia kazi akapiga chenga. Yeye ni pesa tu ndio anataka.
Mimi nipo sana wewe ndio umeadimika bossNiko salama boss umehadimika
Una dhamna yoyote? Au dhamana ni mali kauli?NAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 π
Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani ya muda tutakaokubaliana.
Sio ombi la kuomba msaada wa bure, bali ni mkopo. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeguswa na kunisaidia katika kipindi hiki. Mwenyezi Mungu ambariki kila atakayejitokeza. π
Nyete season 2Huyu jamaa ni tapeli tu mkuu....
Sie wengine sio wepesi wa kutamka haya, lakini ukiona imefikia hivi basi ujue tumechoka kuvumilia vijana wenye ndimi mbili.
Ukiangalia kuna uzi wake alisema baba yake anaumwa sana na yeye ndie anamsaidia.
Badae akasema anapitia magumu nyumbani kwa wazazi wake.
Next picha akasema yupo Karatu kisha baada ya dakika 20 akasema yupo wapiwapi sijui hukoooo....
Hahaha! Kila siku anamba 20 atakuwa ana beti sio bureWanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Nyete alituweza allooo.....π€£Nyete season 2
Nisaidie mimi bossHuyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Weka namba pm nitamtuma kijana akutafuteNisaidie mimi boss
Hapanamkuu si watakutafta kwa lain inayopatikana na ID yako mzee
Ombaomba mbona mkali sana wewe kama upo jf tangu 2008(jf enzi hizo hakukua na fala ) huwezi kulia njaaNaomba nieleweke, sijafungua akaunti hii kwa nia ya kumdanganya mtu yeyote. Nimekuwa JF tangu mwaka 2008, lakini kwa sasa natumia ID hii mpya. Kuhusu ID za zamani zinazotajwa, siwezi kuwajibika kwa akaunti ambazo si zangu. Niko hapa kama mwanadamu ninayepitia changamoto za maisha. Kama nimekosea, niko tayari kurekebisha, lakini naomba nisiitwe tapeli bila ushahidi wala kudhalilishwa. Mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie kwa moyo wa utu; asiyeweza, naomba tuheshimiane.
Shukrani Boss mwendo wa ngiri.Weka namba pm nitamtuma kijana akutafute
Tuheshimiane....naombaOmbaomba mbona mkali sana wewe kama upo jf tangu 2008(jf enzi hakukua na fala ) huwezi kulia njaa
Mimi ninashindwa kukupinga kwakua ulimpa options tukishuhudia.Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Basi kwa pamoja wanajukwaa tuseme MATAKO YAKEHuyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Bora atume oddsπππ Shenzie huyu kumbe ni makamaria ,akili za wakamaria najizua vizuri nadhani sasa yupo kwenye phase ya kuwa addicted kbs ,dawa ni kumnyima bahati yake mods hawawezi kufungia account yake
Unaweza kulala chumba kimoja na mama-mkwe?!Nipe code mkuu