PrincessLove
Member
- Jul 19, 2014
- 22
- 0
Hela unataka kwa ajili ya nini my dear. Masharti ya dhamana yanahusika
Mama yng anauvimbe tumboni hvyo nahitaj pesa kwa ajil ya matibabu yake,dhamana nitaweka vyet vyako vyote muhmu
Kina Dada mmefumka siku hizi,naona hamjambo.
Yaani kama mnaambiana vile.
Usije kuwa umekuja na Avatar nyingine
mkuu nawe unatunanga jaman. shida tu hz. teh teh teh
Ata wewe yanaweza kukuta