PrincessLove
Member
- Jul 19, 2014
- 22
- 0
Naomba mtu anayeweza kunikopesha sh 250,000 kwa lak 350,000 namrudishia mwisho wa mwez wa 1 tafadhal jaman ninashida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela unataka kwa ajili ya nini my dear. Masharti ya dhamana yanahusika
Mama yng anauvimbe tumboni hvyo nahitaj pesa kwa ajil ya matibabu yake,dhamana nitaweka vyet vyako vyote muhmu
Kina Dada mmefumka siku hizi,naona hamjambo.
Yaani kama mnaambiana vile.
Usije kuwa umekuja na Avatar nyingine
mkuu nawe unatunanga jaman. shida tu hz. teh teh teh
Ata wewe yanaweza kukuta