Wakuu naomba mnieleweshe kama umeagiza gari bado haijafika na ni ya 2005 lengo kukwepa dumping fees, leo serikali inapunguza miaka ya dumping fees itakuwaje? Kwamba ntatakiwa kulipa kodi mpya yenye dumping fees au watanisamehe kwa kuwa wakati nanunua ilikua haipo?