Naomba mnieleweshe, kama umenunua gari ya 2005 kukwepa dumping fees...

Naomba mnieleweshe, kama umenunua gari ya 2005 kukwepa dumping fees...

Goldman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
1,930
Reaction score
2,401
Wakuu naomba mnieleweshe kama umeagiza gari bado haijafika na ni ya 2005 lengo kukwepa dumping fees, leo serikali inapunguza miaka ya dumping fees itakuwaje? Kwamba ntatakiwa kulipa kodi mpya yenye dumping fees au watanisamehe kwa kuwa wakati nanunua ilikua haipo?
 
Sheria inaanza mwezi wa saba tar1 so changamka toa gari faster
 
muombe aliyekuuzia ascan na akupelekee hizo document.ukizipata mpe clearing agent azi-log tra fasta kabla ya 1/7
 
Time of entry ni muda wa clearance, kwa iyo kama clearance itafanyika mwezi 7 huwezi kukwepa hilo mzee
 
Kwa ufupi halikwepeki hili.
Maana hata uki scan sio kila kitu kitafanyika,watakubana wakati wa kulitoa gari.
Na mbaya zaidi hii fee imestukizwa kwa muda mfupi sana
 
Back
Top Bottom