MD utasoma vyuo vya private ila kwa serekali haitawezekana
Njoo muhas upate diploma yoyote ya afya!kama g.p.a yako itasoma kuanzia 3.5 md kama kawaida!hakuna kischowezekana tz hii
Sheko said:Poa mkuu asante kwa kunielewesha vp naweza kuchaguliwa hapo muhas kusoma diploma!